Blog

Katika kipindi cha mwaka 2015 hadi 2017
Katika kipindi cha mwaka 2015 hadi 2017 LECIDE imeweza kufanikisha mipango ya matumizi ya ardhi kwa vijiji 15 chini ya Mradi wa Panda Miti Kibiashara katika wilaya za Njombe, Ludewa, Makete, Songea (Madaba) na Nyasa.
LECIDE imeweza kusaidia uandaaji wa Programu endelevu ya upandaji miti katika mkoa wa Ruvuma
LECIDE_EnDemo
0